Namuona anakuja na swaga za kubanabana hapa...kila kitu kina challenges zake..muhimu ni kuzikabili na sio kuzikimbia..kwa sababu watu wawili wamefake basi ndio ugeneralize kwa kila mtu?....lolz
Ila siri yako, i dont believe in cyber relationships kabisaa. For me to date a cyber friend inabidi tujuane in person, nimjue hadi babake, mamake na shangazi zake kwa miaka walau mitano. Utadhani unawekeza kununua pantoni hehehehe!
Naamini kwenye kuweka distance. I was shocked kuona Maxence na Mike walikutana mtandaoni, imenisaidia ku-open up kidogo. Im still very old fashioned, born before facebook.
Namuona anakuja na swaga za kubanabana hapa...kila kitu kina challenges zake..muhimu ni kuzikabili na sio kuzikimbia..kwa sababu watu wawili wamefake basi ndio ugeneralize kwa kila mtu?....lolz