Fake Kikwete's Twitter Account

hahaha, ila pia title ya huu uzi ina shida, ukisema kikwete's unamanisha ni ya kikwete maana hiyo 's hutumika kuonesha umiliki kwa mujibu wa English ya std 1

Nadhani title ipo sahihi kabisa na inaendana na maudhui ya uzi.

Hebu angalia sentensi hizi mbili:

- Fake Kikwete's Twitter Account.

- Kikwete's fake Twitter Account.

So, title na contents vinareflect na kuzungumzia 'Twitter Account ya Kikwete feki'. Au 'Kikwete feki kwenye Twitter Account'.

Ufeki wa mtu (Personification). Na wala sio ufeki wa Twitter Account.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…