Wanajamii naomba kuliuliza jeshi la polisi upande wa trafiki,ni sheria gani inatumika kumhukumu mmiliki wa gari kulipishwa faini zote za makosa barabarani wakati makosa mengine yamefanywa na dereva
Yaani mimi nimelipa mpaka nimefilisika wakati madereva wangu waliofanya hayo makosa hata kuguswa hawajaguswa na sasa hivi wamenikimbia wanaendelea kuvunja sheria kwa kutumia gari zingine mahali pengine,this is tz
Yaani mtendaji wa kosa mwingine mlipaji mwingine,mfano kukamata gari wakati mkosaji ni dereva labda hakuvaa mkanda,au alilewa,au overspeeding na aina hiyo ya makosa,swali ni kwa nini mmiliki anakamatiwa gari na kulazimishwa kulipa wakati dereva ndiye alitenda makosa hayo?
Yaani mtendaji wa kosa mwingine mlipaji mwingine,mfano kukamata gari wakati mkosaji ni dereva labda hakuvaa mkanda,au alilewa,au overspeeding na aina hiyo ya makosa,swali ni kwa nini mmiliki anakatiwa gari na kulazimishwa kulipa wakati dereva ndiye alitenda makosa hayo?