Failure to install facebook app in My sony experia Z5 premium

BBA MKT

Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
32
Reaction score
37
Msaada nina simu yangu tajwa hapo juu lakini kwa muda mrefu nimeshindwa kuinstall facebook application na facebook lite. Huko nyuma nilikuwa nayo na ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa. nilikuja ku Uninstall baadaye nilipotaka kuinstall ikagoma hadi leo. Nikidownloan inakubali but kuinstall inadisplay error 505. Space ya simu ni ya kutosha, and all other applications hazina shida.
Msaada wenu wakuu.
 
Jarbu ku clear cache za playstore na play services kisha u download upya hyo fb
 
Asante kwa ushauri.Nimeweza kuclear caches zote mkuu but bado tatizo linaendelea.
 
Back
Top Bottom