Failed EQUATORIAL GUINEA Coup: Simon Mann (cold-blooded blue blood) & Mark Thatcher..

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Naamini kuna wengi mlishasikia kuhusu kesi hii... pia naamini wengi bado mnaifatilia. It is fascinating to know what dirty business went on behind the coup. Below are profiles of some of the culprits... Please read on....

Source link: http://www.guardian.co.uk/uk/2007/may/09/equatorialguinea.world

SteveD.
 
Source link: http://www.guardian.co.uk/world/2008/jun/17/equatorialguinea1

SteveD.
 
Matajiri na viongozi wa nchi za magharibi wamekuwa wakimastermind mapinduzi ya kijeshi kwenye nchi za africa tangia nchi hizo zilipopata uhuru, hali itaendelea kwani bado wanainterest katika nchi zetu na ndo maana hawawezi kuziacha zijitawale zenyewe lazima waingilie.
 
More on the trial...
Source link: http://www.guardian.co.uk/world/2008/jun/18/equatorialguinea

SteveD.
 
Source: The Guardian

SteveD.
 
hii ni asante kwa mugabe, penda tusipende, wangekuwa wamepitia nchi nyingine kama t........ wasingekamatwa, au kesi ingebadilishwa ikawa tofauti.
 

Sawa kabisa. Matukio kama haya yameelezewa vizuri katika movie inayoitwa 'Dogs of War'.
 
Mugabe ni dictator kama rais wa Equatorial Guinea.Zaidi ya 3 millions zimbabweans have left the country due to hunger,human rights abuses na diseases!Wanasota South Afrika mitaani!
Haika wake up
 
Simon Mann freed from Equatorial Guinea jail

Simon Mann, the Briton who led a failed coup attempt in Equatorial Guinea, has been pardoned and released from prison.



By Sebastien Berger in Johannesburg
Published: 3:35PM GMT 03 Nov 2009


More at http://www.telegraph.co.uk/news/wor...n-Mann-freed-from-Equatorial-Guinea-jail.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…