Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

True true ... Yaani mwanamke anayejua maana ya mapenzi moto moto deep deep ..ana nguvu kuliko chochote kwa mwanaume .. A man will give everything to that woman hata kama hujaomba. .Utaona akiongea na ww anatetemeka tu .Haaa meaning mapigo ya moyo yanapanda ghafla hata akikuona anaanza badilika macho hadi sura ..Hypertension ya muda mfupi inaanza .. That is mentally connected & natural ..

Wee inaelekea unaweza muua mwanaume kwa mapenzi naanza kuogopa ..Haaaa uuhh. .Ur fully qualified & experienced kungwi ..Haa haaaaa i wish i could meet you one - one .. :p:p:p:p:p:p:p
Mkuu, unaonaje mkianzisha thread yenu mkazungumzie hayo mambo ya blowjob
 
Vipi kuhusu mapera maana pia hutoka mazima na pia yakikutana na ardhi huota.
Hapo sasa!! Maana mbegu yoyote inayoweza pita ktk koo yako na kuingia mfumo wa chakula na baadae ikaingia ktk utumbo mkubwa na kuitoa kwa haja kubwa sehemu rafiki kwa mbegu kuota lazima iote orodha ni ndefu mno.
 
Ingekuwa ni kweli basi mnazi mmoja,kisutu ilala zingeota pilipili kila mtaa maana wahindi wanakula sana! Porini kuna nyanya zinaota, kuna tikiti zinaota, matango yanaota huwezi sema ni mtu kanya. Kwa sababu pilipili pori ni ya porini, tango pori halifanani na kulimwa, tikiti pori halifanani na ya kulimwa!

Kwanini mtu akimeza mbegu ya Hindi huota Hindi? Iweje kwenye pilipili mtu ale hoho halafu iote pilipili pori!? Kwenye mazao uoeteshaji mbegu upo Wa njia nyingi. Kuna upepo, kuna wachungaji mabaki ya vyakula, kuna ndege, kuna Maji ya mvua, kuna wanyama has a nyani n.k
 
Hivi punde,
Hii kutomeng'enywa hakuna uhusiano na kukwangua tumbo hii siyo kweli basi wala mapera wangepata vidonda mzimu wa mapera maana ukila mapera unaweza kuny. mbegu fuso na ukabaki poa tu
 
Nahitaji hii pilipili ( Cayenne Pepper) kama wewe ni mkulima wasiliana nasi, CORNWELL TANZANIA tupo KIMBIJI Kigamboni, 0713306263 au 0763 578057
 
Back
Top Bottom