Tumekuwa tukishuhudia athari za ugonjwa huu unaosababishwa na virusi vya Corona, Sina haja ya kurudia kuzungumzia athari hizo lakini kwa ufupi tu umesababisha zaidi ya vifo 10,000 duniani had I Leo tarehe 21.10.2020 kwa mujibu Wa vyombo vya habari mbalimbali, hata hivyo janga hili kwa kwa mtazamo wangu limetuletea faida zifuatazo duniani:-
1. Amani Duniani
Tutakumbuka kuwa kabla ya mlipuko wa Ugonjwa huu kulikuwa na tishio la amani duniani hasa baada ya Irani kushambulia ubalozi wa Marekani katika nchi ya Iraq na kisha Marekani kumuua Kiongozi Wa kivita wa Irani Suleiman kama sijakosea, na kisha visa vingine kuendelea ambavyo vilihusisha nchi mbalimbali,Kama vile China,Urusi ,Israeli,Korea Kaskazini,Palestina, nk mambo haya ya vita tuliyaona ba kuyasikia katika vyombo vya habari vya BBC,CNN,Sky News,Aljazeera na hata katika vyombo mbalimbali vya nchi mbalimbali, lakini yangu mlipuko huu ukolee, dunia imesimama , hakuna taarifa za vita tunavyovisikia tena, kila nikichungulia taarifa za vyombo hivi vya habari ni Corona,Covid 19, kila kona,Hakuna vita, Amani imetawala kati ya taiga na taiga,vita imeelekea kwa Corona, Hakuna Corona ametutia adabu.
2. USAFI
Hakika Corona imetufundisha kuwa wasafi sana ili kulinda Afya zetu, tunashuhudia madaktari na wataalamu mbalimbali duniani wakitoa Elimu ya namna ya kujikinga na Ugonjwa huu,hasa kwa kuzingatia kanuni za usafi,sins haja ya kurudia maelekezo hayo,lakini tukiri tu kuwa tumekuwa wasafi katika kipindi hiki.
3. KUWEKA AKIBA
Hakuna shaka tunajifunza sana kuweka akiba ya Fedha,Chakula,Dawa nk katika ngazi kuanzia Dunia,Nchi na Familia, Moja ya maelekezo yanayotolewa kwa ajili ya kujikinga na Ugonjwa huu ni kuzuia safari kutoka nchi moja had I nyingine lakini hata kuzuia watu kubaki majumbani mwao, kama nchi au watu hawana akiba ni dhahiri Afya za watu zitadhoofika kwa kukosa Huduma muhimu kama Chakula,Dawa,nk lakini nchi ikiwa na akiba au familia ni dhahiri kuwa tutafanikiwa, Covid 19 inatufundisha kuweka akiba kwa hatujui yajayo,
4 Unatukumbusha kuwa binadamu wote ni sawa
Ni ukweli bila shaka kuwa binadamu wote kuanzia mataifa makubwa na tajiri na wale Wa mataifa maskini kuna uwezekano sawa Wa kushambuliwa na ugonjwa huu, tena umeanzia katika mataifa hayo makubwa, jambo hili limetufanya kuwa sasa mbele ya USO Wa Dunia, hakuna Mkubwa wala Mdogo wote ni sawa tu
5. Madaktari wana kazi kubwa ya kufanya.
Mimi naona madaktari wameshindwa kwa kiasi kudhibiti ugonjwa huu,watu zaidi ya elfu 10 wamekufa katika kipindi kisichozidi miezi Mitatu duniani, hii inaashiria kuwa bado madaktari wana kazi ya kufanya kuokoa maisha ya watu duniani,Dunia imewagharamia kupata Elimu walonayo, watumie Elimu hiyo kufanya utafiti wa magonjwa mbalimbali na kutoa solution kwa kila ugonjwa unaojitokeza kwa haraka, Dunia hii inawategemea, watu waliokufa wamekufa kwa kukosa Dawa stahiki na mapema kutoka na udhaifu Wa madaktari.
7. Kutumia Vizuri Mali (resources) tulizonazo
Mi naamini kuwa Dunia INA resources za kutosha sana kukidhi mahtaji muhimu kwa ajili ya binadamu
Lakini tunashuhudia Mali hizo zikitumika kutengeneza silaha za kivita, kufanya anasa kupindukia, kupigana kati ya nchi mmoja na nyingine au kundi mmoja la raia na lingine, pamoja na mambo mengine yasiyo ya muhimu kwa maisha ya binadamu, Corona imetufundisha kuwa pamoja na kuwa na silaha kubwa za kivita, pamoja na kuwa vzuri kiuchumi nk lakini mbele ya Corona Mambo hayo hayakusaidia, ni bora tungetumia resources hizo kufanya utafiti wa kufanya maisha ya binadamu salama zaidi.
8. Onyo la kufanya majaribio ya habari
Tumepata habari kuwa Virusi vya Korona vipo kwa Wangama kama nyoka na Popo ,ni dhahiri kuwa yalifika kwa binadamu kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufanya majaribio ya kutengeneza silaha au jambo lingine, au labda la Wangama hao Covid 19, inatupa onyo watu Wa Dunia hii kutofanya majaribio ya habari
9. Kuwa karibu na Mungu
Ugonjwa huu umetufanya kila MTU kwa namba yake kuwa karibu na Mungu wake,pengine hapa kwetu hatujaona jambo hili kikamilifu, lakini hebu karibu kuvaa Viatu vya watu Wa Chiba,Itali, Spain, nk utaona jinsi ilivyo muhimu kuwa karibu na Mola wako,
Nahukuru kwa yote mengine ongezeeni,
Sent using Jamii Forums mobile app