Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,732
- 13,766
Wakuu,
Sote tukubaliane kuwa ktk ndoa mwanaume inampasa angalau awe na mchepuko angalau wa nje ili kuendelea kulinda ndoa yake tofauti na hapo ndoa itavunjika tu hata iweje.
Mara nyingi jambo hilo la michepuko ktk jamii hutafsiriwa katika dhana ambayo wengi wanaikubali kumbe pasipokujua ndio husababisha ndoa zao zivunjike.
Katika hili la mchepuko mwanaume anatakiwa kujitahidi ku play postive be safe. Matumizi sahihi ya kinga ili kuepuka kumwambukiza mke wako magonjwa kutoka nje ya ndoa
Zipo faida nyingi za kuwa na mpango wa kando kama ifuatavyo,
1. Humfanya mke wako apate muda wa kupumzika. Ukiwa huna mchepuko itakulazimu kila siku mke wako umshughulikie jambo ambalo huwaudhi wanawake wengi.
2. Kufanya mapenzi sana na mkeo kutafanya ule utaratibu wa family planning kukiukwa kwani itakuwa kira mara unafanya nae mapenzi hivyo kupata mimba ambayo hamkutarajia.
3. Kuwa na mchepuko kunaimarisha uhtaji wa penzi kutoka kwa mkeo kwao,kwani wewe usiwe kila siku wewe tu ndiye unaomba.
Nimemaliza.