Mkuu lengo lako la kuweka huu Uzi si ili tupate elimu?Vizuri mkuu, ndio maana ni elimu ambayo huipata wachache sana miongoni mwetu,
Rakims
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma ujumbe wa chini wa hii thread? Hebu rejea tenaMkuu lengo lako la kuweka huu Uzi si ili tupate elimu?
Sasa kwa Nini usiweke Kila kitu wazi ili tusiojua hayo majina tuyajue ili tuyatumie?
Na Kama Ni elimu ambayo huipata wachache ,kwa Nini huu Uzi umeuanzisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri mkuu, ndio maana ni elimu ambayo huipata wachache sana miongoni mwetu,
Rakims
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye list ya majina hayo sijawahi kuona hayo uliyoyataka hapo, kwa maana yenyewe kwenye vitabu vya dini pia unayakuta yamo na kila linalotajwa unakuta lipo kwenye vitabu vya dini mkuuKaka rakim kuna mtu alinidokezea hayo majina akanambia
AHAMA-SAQIQ-ALA-YAS lakin sijamuelewa
Pia kuna wakati waislamu wakiwa wanaomba huwa wanatumia na wakristo huwa wanatumia kwa lugha ya kiizrael sifa na maana zinakuwa zile zile kasoro lugha tu mkuuKaka rakim kuna mtu alinidokezea hayo majina akanambia
AHAMA-SAQIQ-ALA-YAS lakin sijamuelewa
Eeeh kumbe uwaga unatengeneza ndo maana zote zinaishia nyianiiTengeneza wako wa maana mkuu
Uko sahihi mkuu. Nahisi mtoa mada ni mganga wa kienyeji hasa wale wanaotumia vibaya kitabu cha Mwenyezi Mungu kufanya Shirk. Na hakika elimu aliyokuwa nayo itakuwa amepewa na hao anaofanya shirk nao (Mashetani)Hawezi kutoa ushahidi wa hii elimu anayoifundisha katika UISLAM.
Nini maana ya Shirki kwa fahamu zako na elimu yako?Uko sahihi mkuu. Nahisi mtoa mada ni mganga wa kienyeji hasa wale wanaotumia vibaya kitabu cha Mwenyezi Mungu kufanya Shirk. Na hakika elimu aliyokuwa nayo itakuwa amepewa na hao anaofanya shirk nao (Mashetani)