Faida za kuwekeza katika mashamba ya miti Iringa

Spms

Member
Joined
May 11, 2017
Posts
13
Reaction score
21
CONTACTS :
WhatsApp, sms & Call :
+255763110764/+255625689363
Karibu uwekeze ktk Aridhi na mashamba ya miti
Zifuatazo ni faida utakazonufaika:

1.Shamba la miti litakunufaisha ufikiapo mda wa kuvuna waweza kuvuna mbao au milingoti ya nguzo za umeme na kuuza inategemeana na aina ya miti uliyopendelea kununua ktk Shamba
Mfano ukinunua Shamba kwajili ya kuvuna mbao yaani Shamba la miti aina ya Paine kwa ekari hupandwa miche 600 na ukiitunza vizur kuuanzia miaka 8 n.k Unaweza kuvuna mbao kwa hesabu ndogo tu tena ya makadilio ya chini kabisa Endapo kila mti utakutolea mbao 8 za (2x6) na ukauza kwa Bei ya jumla ya @ ubao 6,000/=
Kwa kila mti utakupatia
8x6,000/= 48,000/=
Kwa Ekari utapata
48,000/=x600= 28,800,000/=
Mbali na hapo Pia

2. Kipindi au mda ukisubili Shamba lako lifikie mda wa kuvuna Unaweza kutumia Shamba lako Kama mzamana (security) ktk kunufaika na mikopo mbalimbali Kama vile mikopo ya Bank n.k
Kuna hati miliki za kimila/umilikishaji wa Aridhi chini ya uongozi wa Kijiji.

3. Unaweza kuanzisha ufugaji wa nyuki ndani ya Shamba Kipindi ukisubili mda wa kuvuna Shamba lako la miti.

4. Unaweza kunufaika na ufugaji wa mifugo Kama vile mbuzi, Ng'ombe, kondoo, nguruwe n.k ndani ya Shamba lako la miti .

5. Kutunza mazingira na kuzarisha hewa Safi.

Asante Sana
Kwa atakae kuwa interested Bei ni Kama ifuatavyo :
Aridhi @ Ekari 500,000/=
Kwa miti ya Mwaka 1 @ mti 1,000/=
Kwa miti ya miaka 2 @ mti 2,000/=
Kwa miti ya miaka 3 @ mti 3,000/=
Kumbuka @ ekari ukinunua lazma uongeze Bei ya Aridhi 500,000/= ambayo nimeandika hapo juu.
 
Vipi kuhusu utapeli mmeacha sikuhizi, maana kuna raia walilizwa million 80 mwaka jana mwishoni. Walifanyiwa utundu wakapigwa pesa shamba lililokwisha uzwa!
 
Hiyo ndo shida yetu waafrika,kutoaminika. Hata kama mtu anania ya kuwekeza anaogopa kuingizwa mjini
 
Vipi kuhusu utapeli mmeacha sikuhizi, maana kuna raia walilizwa million 80 mwaka jana mwishoni. Walifanyiwa utundu wakapigwa pesa shamba lililokwisha uzwa!
Utapeli ni kila sehem au maeneo ya biashara mkuu cha msingi ni kuwa makini Sana na matapeli asante kwa kutoa taarifa mapema pia nasisitiza kwa kila mtu manunuzi ya Aridhi yanatakiwa kuwepo na uongozi wa Kijiji ambapo ndo shahidi ktk upande wa serikali nazan ni njia moja wapo itasaidia kupunguza Utapeli
 
1507553193793-1422688482.jpg
 
CONTACTS :
WhatsApp, sms & Call :
+255763110764/+255625689363
Karibu uwekeze ktk Aridhi na mashamba ya miti
Zifuatazo ni faida utakazonufaika:

1.Shamba la miti litakunufaisha ufikiapo mda wa kuvuna waweza kuvuna mbao au milingoti ya nguzo za umeme na kuuza inategemeana na aina ya miti uliyopendelea kununua ktk Shamba
Mfano ukinunua Shamba kwajili ya kuvuna mbao yaani Shamba la miti aina ya Paine kwa ekari hupandwa miche 600 na ukiitunza vizur kuuanzia miaka 8 n.k Unaweza kuvuna mbao kwa hesabu ndogo tu tena ya makadilio ya chini kabisa Endapo kila mti utakutolea mbao 8 za (2x6) na ukauza kwa Bei ya jumla ya @ ubao 6,000/=
Kwa kila mti utakupatia
8x6,000/= 48,000/=
Kwa Ekari utapata
48,000/=x600= 28,800,000/=
Mbali na hapo Pia

2. Kipindi au mda ukisubili Shamba lako lifikie mda wa kuvuna Unaweza kutumia Shamba lako Kama mzamana (security) ktk kunufaika na mikopo mbalimbali Kama vile mikopo ya Bank n.k
Kuna hati miliki za kimila/umilikishaji wa Aridhi chini ya uongozi wa Kijiji.

3. Unaweza kuanzisha ufugaji wa nyuki ndani ya Shamba Kipindi ukisubili mda wa kuvuna Shamba lako la miti.

4. Unaweza kunufaika na ufugaji wa mifugo Kama vile mbuzi, Ng'ombe, kondoo, nguruwe n.k ndani ya Shamba lako la miti .

5. Kutunza mazingira na kuzarisha hewa Safi.

Asante Sana
Kwa atakae kuwa interested Bei ni Kama ifuatavyo :
Aridhi @ Ekari 500,000/=
Kwa miti ya Mwaka 1 @ mti 1,000/=
Kwa miti ya miaka 2 @ mti 2,000/=
Kwa miti ya miaka 3 @ mti 3,000/=
Kumbuka @ ekari ukinunua lazma uongeze Bei ya Aridhi 500,000/= ambayo nimeandika hapo juu.

Unasema kuwa mtu anaweza vuna miti ya umri wa miaka 8, na kupata mbao kiasi icho ulichotaja, hii si kweli. kwanza mti wa miaka nane bado ni mchanga na mbao zake zinakuwa hazina ubora unaotakiwa katika soko. hata ukifanikiwa kuuza huwezi pata mteja wa kukupa hela iyo uliyotaja, at least mti wa kuanzia miaka 10 unaweza vuna japo pia inakuwa haijafikia kiwango kizuri sana.
 
Mkuu, pale kwenu hekari tupu isiyo na kitu, bei gani? Nazungumzia Muhinda
 
Kwahio blabla tukiweka kando, hebu nipe gross figure kwa miti ya miaka mi 4 kwa ekari moja. Ntahitaji kuiuza baada ya miaka mi 4 mbele.
 
CONTACTS :
WhatsApp, sms & Call :
+255763110764/+255625689363
Karibu uwekeze ktk Aridhi na mashamba ya miti
Zifuatazo ni faida utakazonufaika:

1.Shamba la miti litakunufaisha ufikiapo mda wa kuvuna waweza kuvuna mbao au milingoti ya nguzo za umeme na kuuza inategemeana na aina ya miti uliyopendelea kununua ktk Shamba
Mfano ukinunua Shamba kwajili ya kuvuna mbao yaani Shamba la miti aina ya Paine kwa ekari hupandwa miche 600 na ukiitunza vizur kuuanzia miaka 8 n.k Unaweza kuvuna mbao kwa hesabu ndogo tu tena ya makadilio ya chini kabisa Endapo kila mti utakutolea mbao 8 za (2x6) na ukauza kwa Bei ya jumla ya @ ubao 6,000/=
Kwa kila mti utakupatia
8x6,000/= 48,000/=
Kwa Ekari utapata
48,000/=x600= 28,800,000/=
Mbali na hapo Pia

2. Kipindi au mda ukisubili Shamba lako lifikie mda wa kuvuna Unaweza kutumia Shamba lako Kama mzamana (security) ktk kunufaika na mikopo mbalimbali Kama vile mikopo ya Bank n.k
Kuna hati miliki za kimila/umilikishaji wa Aridhi chini ya uongozi wa Kijiji.

3. Unaweza kuanzisha ufugaji wa nyuki ndani ya Shamba Kipindi ukisubili mda wa kuvuna Shamba lako la miti.

4. Unaweza kunufaika na ufugaji wa mifugo Kama vile mbuzi, Ng'ombe, kondoo, nguruwe n.k ndani ya Shamba lako la miti .

5. Kutunza mazingira na kuzarisha hewa Safi.

Asante Sana
Kwa atakae kuwa interested Bei ni Kama ifuatavyo :
Aridhi @ Ekari 500,000/=
Kwa miti ya Mwaka 1 @ mti 1,000/=
Kwa miti ya miaka 2 @ mti 2,000/=
Kwa miti ya miaka 3 @ mti 3,000/=
Kumbuka @ ekari ukinunua lazma uongeze Bei ya Aridhi 500,000/= ambayo nimeandika hapo juu.
Wizi na uongo mtupu
 
Back
Top Bottom