Faida za kumtoa "OUT" umpendaye

Out ya maana mpeleke mwenzio MARBELLA spain, South Beach USAau hata PATAYA thailand
Akatembee Akajionee watu wanavoishi duniani.

Hizo out zenu za kupelekana pale kitambaa chekundu zimepitwa na wakati[emoji4]
Mkuu mbona bongo Kama New York Kama mkwanja upo ina maana hata kisiwani hakufai kama bongoyo and the like au kidimbwi.
 
Out ya maana mpeleke mwenzio MARBELLA spain, South Beach USAau hata PATAYA thailand
Akatembee Akajionee watu wanavoishi duniani.

Hizo out zenu za kupelekana pale kitambaa chekundu zimepitwa na wakati[emoji4]
Umeanzaaa tuacheee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mwaka huu natamani kila ijumaa niwe nahudhuria live band....niende mwenyewe kabisa sitaki kutoka na mtoto wa mtu
shosti umechelewa

yaani hapa every jumatano na ijumaa ninatoka out...... nachagua kiwanja


jumamosi na watoto

nikagundua kutoka out mwenyewe bika mtoto wa mama mkwe ni tiba na raha aisee...... no stress
 
Kutoka na mashost inanoga sana sana wao wasitutoe acha sisi tutoke wenyewe

NIMEELEWA UNATAKA UTOKE MWENYEWEE ILI UJINAFASII
Hahahah ajinafasi na mjuba Co-worker wake ambaye wana crush ili wakalane vizuri!

We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe wameachania Samaki Samaki kamuacha na Alfred😅 Suzy naye kaenda kwa Kelvin kaja kuwa picked Mlimani😅 wakirudi saa 11 full kulegea yani we umelala unajua wife katoka birthday kwa rafiki yao Millen kumbe katoka kuuza utu Lion Hotel😅!

Kuweni makini sana na wake zenu wenye mashosti. Theres alot going between huo ushosti! Ni muungano flani wa kufichiana maovu😅😅😅
 
Ur such asmart guy,truest said , mwanamke mke wamtu mwenye mashosti nihasara!
 
Alafu hawa mashosti wakikutana story zao asilimia kubwa ni kuwasema vibaya waume zao....!!!
 
Exactly [emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…