Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,905
- 172,791
Amfate jobo sio?Aisee!
Huyo mkulungwa kwenye chama chetu tunaomba ajiuzulu.
Sasa mkuu mume wangu si mtoto wa mtu au umeelewajeSio mtoto wa mtu nazungumzia mumeo utoke naye out huo uhuru unataka wa ninii unataka kufanya nini huko...???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo mme nae ni mtoto wa mtu
Mkuu maisha mafupi haya relaxIli muwe huru alafu kifuatachoo.....yaani ndoa' za siku hizi changamoto Sana...!!!
Mpe mwongozo 😂Mkuu maisha mafupi haya relax
Eti mkulungwa ni ya Kweli Ayo?[emoji4]Out ya nini, mwanamke akishazaa havutii tena tumbo kubwa, havai nguo za mitego hapana akae nyumbani alee watoto ntatoka na washkaji na wachuchu wenye matumbo flat
ikitokea nimemtoa tutatembea kama Bata mimi mbele yeye atanifata nyuma...alisikika mkulungwa akiongea peke yake.
Na micheps.Hata sisi wanawake hatutaki shuu, live band twende na mashost tu inatosha [emoji16]
[emoji848][emoji848][emoji848]Kutoka na mashost inanoga sana sana wao wasitutoe acha sisi tutoke wenyewe [emoji1787]
Kujiimbia harmonize "eeh, huo ni ushamba"Out ya nini, mwanamke akishazaa havutii tena tumbo kubwa, havai nguo za mitego hapana akae nyumbani alee watoto ntatoka na washkaji na wachuchu wenye matumbo flat
ikitokea nimemtoa tutatembea kama Bata mimi mbele yeye atanifata nyuma...alisikika mkulungwa akiongea peke yake.
Kutoka na mashost inanoga sana sana wao wasitutoe acha sisi tutoke wenyeweSasa mkuu mume wangu si mtoto wa mtu au umeelewaje
DP una mtu???☺️Out ya maana mpeleke mwenzio MARBELLA spain, South Beach USAau hata PATAYA thailand
Akatembee Akajionee watu wanavoishi duniani.
Hizo out zenu za kupelekana pale kitambaa chekundu zimepitwa na wakati[emoji4]
Duh!! Maisha yanaenda kasi Sana...Mambo ni mengi muda mchacheMkuu maisha mafupi haya relax
Mama chanja wa nini piga chini kwenye mitoko, toka na washkaji wachuchu wapo wa kumwaga watoto lainiii watoto sambusa, mayai watoto kachoriKujiimbia harmonize "eeh, huo ni ushamba"
Vitu vingine ni vya kiduwanzi, nisipomtoa mama chanja nikamtoe nani, yeye ndio kakuzalia watoto wako, chuchu hizo hizo zilizolala ndio kakunyonyeshea watoto, ndio maana kwenye dini ya kiislam "inapaswa umlipe mkeo kwa kukunyonyeshea watoto wako"
Kwa kweli mungu aninyime mawazo mgando kama ya baadhi ya hao wakulungwa.
Kweli kwahiyo picha yake muongozo muhimumpe mwongozo [emoji23]
Sema kweliNimefika...
Hua inapendeza sana....
Tena mitoko ya jioni au usiku [emoji6]
Asante mkuu kwa kunielewa tunaenda sawa sasa uko na akili kubwaKutoka na mashost inanoga sana sana wao wasitutoe acha sisi tutoke wenyewe
NIMEELEWA UNATAKA UTOKE MWENYEWEE ILI UJINAFASII