Faida za kukata meno kwa nguruwe (PIGLET)

Faida za kukata meno kwa nguruwe (PIGLET)

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
92
Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya Leo napenda kuwaletea kuhusu elimu ya kukata meno kwa nguruwe

---

📌 Elimu kwa Wafugaji – Faida za Kukata Meno kwa Nguruwe (Piglet)
Karibu sana kwenye somo letu la leo juu ya huduma bora kwa piglets wako.

🗓️ Siku ya 3 hadi 4 baada ya kuzaliwa ndiyo muda sahihi wa kufanya zoezi la kukata meno kwa piglet.

âś… Faida za Kukata Meno kwa Piglet:

1. Hulinda matiti ya mama (Sow): Hupunguza majeraha yanayosababishwa na meno makali wakati wa kunyonya.
2. Hupunguza ugomvi kati ya piglets: Huwasaidia kunyonya kwa utulivu bila kuumizana.
3. Hupunguza maambukizi ya bakteria: Kupunguza kung’atana kunapunguza uwezekano wa maambukizi kama streptococcus.
4. Huongeza uzalishaji wa maziwa: Mama hapati maumivu, hivyo anaendelea kunyonyesha vizuri.

---

📞 Kwa huduma bora na ushauri wa kitaalamu:
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo
📱 0674740836 / 0792263640
Tunatoa huduma za uhimilishaji, chanjo, matibabu, ushauri wa kitaalamu na zaidi.

—
IMG-20250626-WA0075.jpg
 
Huyo Shwain kweli kaumbwa na maumivu,kuchinjwa maumivu alafu kuna kupunguza meno kwa zana butu,hapo mavi lazima yamtoke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom