swahiba daima
Member
- Apr 28, 2015
- 97
- 10
Samahani ndugu wanajukwaa. Naona habari za mapenzi zinapewa nafasi kubwa humu. Je kuna faida kufanya mapenzi kwa mwanaume au mwanamke? Kuna tatizo gani mtu asipofanya hzo habari zenu za mgegedo?
Mapenzi kama bado hujaanza WACHA USIGUSE NI BARAAAAAA,sio Balaaa..... kama unajipenda nafsi yako usiguse kwa sasa...Samahani ndugu wanajukwaa. Naona habari za mapenzi zinapewa nafasi kubwa humu. Je kuna faida kufanya mapenzi kwa mwanaume au mwanamke? Kuna tatizo gani mtu asipofanya hzo habari zenu za mgegedo?