Faida za ku-cheat!

Haya Mabazazi Vin Diesel Mentor Asprin, mwekundu Mndengereko, Rogie, n.k njooni mtuambie faida mnazopata pale mnapocheat.

mkuu.. cheater yeyote duniani huwa haumizwi na mapenzi!

kwa sababu anakuwa hana mtu mmoja anaempenda sana, upendo wake ameugawa katika vifungu vifungu vidogo vidogo katika makundi mbali mbali!

pili, ana uhuru, atakuonyesha upendo wa uongo uongo akijua ameshajihakikishia sehemu ya kula.. ringa sasa uone!!

cheater yeyyote yuko smart kichwani mpaka kwenye mali zake nyingine sensitive kama simu na computer!

majina ya kike utakuta renamed kwenda kiume tu! kwa mfano, badala ya kusave Preta ama Passion Lady, atasave Excel ama mwekundu..

tatu, akiwa na girl wake original, huwa ana confidence sana katika kupokea simu!! uso wa uoga huwa haupo kabisa! hii ni kuondoa kushitukiwa na mamsapu wake!!

team mabazazi mpo?
 
Last edited by a moderator:
hiyo ndio tunaita tamu-chungu ya infii
 
Nyumba inapokosa amani unaendelea kupewa huduma na small house!!!!!
 
Kujiumiza mwenyewe bila kujua unajiumiza:
 
Hivi hata kama haupo kwenye committed relationship utasema mtu ana-cheat?
 
9.Cheating inakufundisha mbinu za kijeshi hata kama simwanajeshi.ie kubana kwenye kabati la nguo,uvunguni na hata kwenye pipa la maji ikibidi.Uwezo huu ni raslimali nzuri kwa taifa letu.
 
9.Cheating inakufundisha mbinu za kijeshi hata kama simwanajeshi.ie kubana kwenye kabati la nguo,uvunguni na hata kwenye pipa la maji ikibidi.Uwezo huu ni raslimali nzuri kwa taifa letu.

Nimecheka sana,
Hiyo no. 6 kuwa na cm unaiacha ofcn bdo ipo? Kuna watu ndoa ilivunjika baada ya kugundua anatumia cm nyngne ofcn, mwananume alitonywa na washkaj akaanza kuchat nae mpk appointment, kdg azirai mdada wa wtu ck anaenda anakutana na mme wake!
 
9.Cheating inakufundisha mbinu za kijeshi hata kama simwanajeshi.ie kubana kwenye kabati la nguo,uvunguni na hata kwenye pipa la maji ikibidi.Uwezo huu ni raslimali nzuri kwa taifa letu.
Huwa ni noma!

Mimi nina rafiki yangu huo ndo mtindo wake ana simu 2 ya officin mke haijui ikifika saa 11 jioni haipo hewani!

Nani ashindwe na nani alegee?
Akilegea mtamuelewa kweli?
Mwongo yeye jamaa yake akilegea atafurahi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…