Kwema wapendwa Kuna mtu anahitaji kuanzisha project ya kufyatua tofari na kuuza . Naomba kujua kwa niaba yake na wengine walio na wazo Hilo wajifunze.
Je biashara hii inachangamoto zipi, pia mtaji wake lakini Sana tujue Bei ya mashine huska.
Karibuni.