stable woman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 3,883 Reaction score 4,484 Jan 11, 2021 #21 blackandwhite said: Kwa mwanamke ni faida kubwa sana nusu ya mali za mume wake zinakuwa zake 7 Click to expand... Utakua mmachame wewe[emoji16]
blackandwhite said: Kwa mwanamke ni faida kubwa sana nusu ya mali za mume wake zinakuwa zake 7 Click to expand... Utakua mmachame wewe[emoji16]
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,693 Reaction score 65,302 Jan 11, 2021 #22 Ndoa haina faida yoyote kwa maisha ya Sasa. Lengo ilikuwa kuwafanya watu waishi maisha ya bila kuchepuka. Lkn kwa Sasa haiwezekani.
Ndoa haina faida yoyote kwa maisha ya Sasa. Lengo ilikuwa kuwafanya watu waishi maisha ya bila kuchepuka. Lkn kwa Sasa haiwezekani.
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,750 Reaction score 8,942 Jan 11, 2021 #23 blackandwhite said: Kwa mwanamke ni faida kubwa sana nusu ya mali za mume wake zinakuwa zake 7 Click to expand... Mmh
blackandwhite said: Kwa mwanamke ni faida kubwa sana nusu ya mali za mume wake zinakuwa zake 7 Click to expand... Mmh
Habdavi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 1,085 Reaction score 1,501 Jan 11, 2021 #24 Wangu ananisaidia kupunguza stress...Nashukuru sikufanya kosa katika kuchagua.