Faida ya kuoa/kuolewa

Faida ya kuoa/kuolewa

shule e

Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
28
Reaction score
23
Karibu tuchangie mawazo mbalimbali kuhusiana na ndoa kwa ujumla, je ni faida gani mtu anapata pindi anapo oa ama kuolewa iwe katika nyanja zote kiuchumi, kiafya, kijamii nk.
 
Ningekuwa nimeoa ningetoa ushuhuda, Ngoja waje waoaji
 
Kawaulize wazazi wako wamepata faida/hasara gani baada ya kukuzaa wewe..kamuulize pia baba yako kabla ajamuoa mama yako alipata faida/hasara gani? Na alivyomuoa alipata faida/hasara gani..apo utapata jibu la uhakika
 
Karibu tuchangie mawazo mbalimbali kuhusiana na ndoa kwa ujumla, je ni faida gani mtu anapata pindi anapo oa ama kuolewa iwe katika nyanja zote kiuchumi, kiafya, kijamii nk.
Hakuna faida yeyote zaidi ya kufuga joka ,,(chatu)
Na baadae linakugeuka.. au kukumeza mwenyewe.
 
Karibu tuchangie mawazo mbalimbali kuhusiana na ndoa kwa ujumla, je ni faida gani mtu anapata pindi anapo oa ama kuolewa iwe katika nyanja zote kiuchumi, kiafya, kijamii nk.
una umri gani?
jinsia gani?
wazazi wako wameoana au umelelewa na mzazi mmoja?

ukinijibu haya maswali ntaanza kujadili mada yako
 
Kutimiza maandiko ya bwana
Unatimiza maandiko kwa kuoa halafu unaendelea kusema uwongo, kuchepuka, kudokoa mali za umma na kuibia wateja wa biashara yako kwa kuwapandishia bei?

Kama si msafi wa matendo ktk nyanja nyingine za maisha basi Bwana hatokuelewa.
 
Back
Top Bottom