Faida utakayopata uki-date na wanawake wapiga mizinga

Ukiona mtu anakufanyia hivyo jua hakupendi hana huruma na wewe yeye anacho jali ni hela tuu
Upo sahihi Asante kwa kuwa muwazi bidada wanawake wenzio wanakasirika wa kusikia hii kauli samahani kuna swali nikuulize wewe ni dini gani? Ni maana yangu kuuliza Hili swali
 
Mnapigwa Mizinga Mpaka Mnachanganyikiwa. Wazee wenu wamewadump Mitaani hawawapi Elimu ya Kutunza Familia zenu mkishabalehe. Mnatafuta Elimu ya Utunzaji kwa Wadangaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Umeshapungwa dogoli huko unataka uwaingize mkenge wengine
 
Wanaume wenzako woote humu lazima wakupinge [emoji38][emoji38]
I think the whole thing is ridiculous.

I'm not going to respect a woman the way I respect a man, when so much less is demanded of a woman than it is of a man

As far as I'm concerned, if you demand more of one group than you do of another, you're implying that group is superior.
 
Ukijua jukumu lako lakuingia kwenye ndoa ni nini hakuna hata hoja moja yenye msingi kwa uloorodhesha.
 
Huoni huu kama ujinga ulioandika?
 
Kati ya uzi wa kipumbavu ni huu,, yan umekaa kiponjoro ponjoro tu..! We kama ushafirisiwa huko usilete huo ujinga na kwa wengine
 
Ukianza kutafuta pesa mwenyewe utokaa kuongea haya mavi....

Fanya kazi
Toka hapo kwenu..
Usilizike na hayo maisha ya ghetto na kitv..
Pambana fanya kazi za kuvuja jasho..

Mwanamke pekee wa kuhudumia yote hayo ni yule ambaye nimemuoa kiufupi ni mke wangu...

Hayo mambo yote uliyoongea yana ukaribu sana na 🌈 🌈 🌈 kuwa makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…