Elimu yangu kidato cha nne nahitaji ngazi ya certificate/diplomaTafadhali watu wa IT na wengineo natamani sana kusomea mambo ya IT.
Je Faida zake na hasara ni zipi?
Vyuo gani naweza kusoma na nikawa competent?
Vitu gani vya kuzingatia na kwenye soko la ajira ya sasa?

Kama unasoma IT kwa sababu maksi zimekufosi usome utapata tabu sana. Ila kama unasoma kwa kuipenda you will enjoy.Tafadhali watu wa IT na wengineo natamani sana kusomea mambo ya IT.
Je, faida zake na hasara ni zipi? Vyuo gani naweza kusoma na nikawa competent? Vitu gani vya kuzingatia na kwenye soko la ajira ya sasa?
Hivi jamani IT (INFORMATION TECHNOLOGY)Tafadhali watu wa IT na wengineo natamani sana kusomea mambo ya IT.
Je, faida zake na hasara ni zipi? Vyuo gani naweza kusoma na nikawa competent? Vitu gani vya kuzingatia na kwenye soko la ajira ya sasa?
Nakushukuru sana mkuu na je ni vyuo gani vinaweza kufaa?Faida ya IT
1.utajua vitu vingi vya teknolojia
2.utaweza tengeneza mifumo mbali mbali yenye impact kubwa katika jamii yako
3.utajua kutatua matatizo ya vifaa vyako vya teknolojia kama simu, tanakilishi(computer) na vinginevyo
4.utajuana sana kwa watu wengi
5.utakuwa mtu muhimu katika jamii
6.huwezi shinda na njaa
Hasara
1.hutumia muda mwingi sana kujifunza kitu kipya
2.hutumia hesabu (kama ww ni mzembe wa hesabu) na kufikilia sana nje ya box patakuwa pagumu
3.ina hitaji uwe mfatiliaji sana wa technology duniani
4.lazima uwe mpya kila siku kichwani yani uendane na kasi ya kubadilika kwa teknolojia
5.kujitolea na msomaji wa vitabu kugundua vitu vipya
6.lazima uwe busy kuandaa project kubwa zaidi ya mwenzio
Note: Tanzania kwa IT. Ni siasa tu watu wanasoma ili wapate pesa na si kutoka moyoni,
Ukisoma kwa career kutoka moyoni utafurahia sana hii secta!
Faida ya IT

NdioMkuu ww ni mwana IT?
1.UdomNakushukuru sana mkuu na je ni vyuo gani vinaweza kufaa?