Jamani ndugu zangu wapendwa katika bwana leo naombeni tulizungumzie hili swala la kumsifia mwanamke [mpenzi wako] hasa katika upande wa uzuri wake kwa sura, mimi binafsi mara nyingi huwa sipendi kumsifia na kumwambia kama yeye ni mzuri. Kumsifia ninako maanisha ni mimi kumwambia yeye ila sio kumsifia kwa watu au mbele za watu. sasa sijajua kama hua nakosea. naombeni mawazo yenu. Asanteni sana