Mkosi kukumbatiwa na mwanaume mwenzakoFaida kukumbatiwa na Dem mkaliiiiii
Hasara kukumbatiwa na Mama yako au Dada yako aiseee
Hahaha,hii ndio mbaya zaidi aisee,hasa watu wa Pwani mara wanamaliza mambo yao hapo hapoMkosi kukumbatiwa na mwanaume mwenzako
,we ni genius sajumo.au na wewe bodaboda?ha ha haHahahaaa faid ingine mchepuko unachukua bodaboda eneo la hatua tano unampeleka g anakuambia mwambie nauli elfu kumi buku tank yako tano yangu baadae mnagawana
ha ha haFaida kukumbatiwa na Dem mkaliiiiii
Hasara kukumbatiwa na Mama yako au Dada yako aiseee