Ni computer standard sana, hazichemki na ubora umezingatiwa, hasara yake ni bei juunaomba kujua faida na hasara computer za apples
Hizo hazisumbui mzee, yaani ni burudani tu, labda useme model gani wataka tuitazameahsante sana ,na vipi kuhusu version?nikichukua ya 2019 haitanisumbua?
Ziko fiti mkuu sema Kuna app/games zipo windowsApple ni nzuri kama sio mambo mengi ila kama ni mtu wa chizi software na IT achana nayo