1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu (amini usiamini kuna wavuta sigara wanfika to 80's )
2. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na hulazimika kutembea na bakora (wapo wavuta sigara kibao ambao hawatembei na bakora yu yua self can prove this)
3. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali:
atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho
kumbe kikohozi tu! (kuna mitaa hata ukae hapo nje ya nyumba yako utaibiwa tuuuu )