bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Nao ni ushauri mkuu.Sina ushauri hapo ila naona mitandao ya kijamii kama facebook, instagram nk iko fasta sana kutembelewa zaidi, labda youtube ukifanya usajili inalipa kuliko unachotka kufanya.
Nafikiri kikubwa ni kuanza hapo hapo ulipo, sio lazima uanze na maudhui mengi kwa mwanzo, anza kidogo kidogo na kadiri unavyokuwa na mashabiki watakuwa wanaongezeka na ww utakuwa na uzoefu mkubwa na pia utajua kipi ni sahihi kuendelea nacho.Nao ni ushauri mkuu.
Maidhui nayotaka kushughulika nayo nahisi ni mengi sana mkuu so ninahitaji nipate sehemu ambayo itakuwa na taarifa zangu pekee na huko You tube bado nakuona mbali sana na complicated kidogo labda kama ungenielewesha kidogo namna inavyofanya kazi bwana google helper.Ila asante sana.
Shukrani sana mkuu,vp una uelewa wa kutosha kuhusu You tube inavyofanya kazi???Nafikiri kikubwa ni kuanza hapo hapo ulipo, sio lazima uanze na maudhui mengi kwa mwanzo, anza kidogo kidogo na kadiri unavyokuwa na mashabiki watakuwa wanaongezeka na ww utakuwa na uzoefu mkubwa na pia utajua kipi ni sahihi kuendelea nacho.
Upande wangu sina ila dogo anajua hivyo vitu, tafuta mtu anayejua jua akupe mwanga kila kitu kinawezekana ukiweka malengo na dhamira ya kweli ikiwepo.Shukrani sana mkuu,vp una uelewa wa kutosha kuhusu You tube inavyofanya kazi???
Poa poa chief nashukuru kwa mchango wako,ngoja nichanganye madude nione naanzia wapi.Upande wangu sina ila dogo anajua hivyo vitu, tafuta mtu anayejua jua akupe mwanga kila kitu kinawezekana ukiweka malengo na dhamira ya kweli ikiwepo.
Sawa mkuuPoa poa chief nashukuru kwa mchango wako,ngoja nichanganye madude nione naanzia wapi.
Poa kiongozi.Sawa mkuu
Amani ya Mola iwe juu yenu wote.
Wakuu mi naomba kuuliza swali tajwa haoo juu.
Katika hii biashara ya kumiliki na kuendesha Website,Bloggu au App tuseme labda yenye maudhui yanayokubalika kwa mujibu sheria maswali yangu ni kama ifiatavyo:
---Napataje hela/faida kwa kuendesha vitu hivyo???
---Je napaswa kuajiri mtu wa kuendesha hizo kitu?Gharama ya kumlipa huyo mtu ikoje?
---Ni kipi ambacho kinapendwa zaidi kutembelewa na watumiaji wengine
-Ni zipi hasa hatua au mahitaji ya msingi ili kuweza kuanzisha biashara km hiyo?
Mi dhamira uangu ni kutoa taarifa fulani as daily updates ktk hiyo web so wataalam nipeni mwanga mwenzenu nafsi inaungua kwa kuliwazia jambo hili
Nategemea kupata mwanga kutoka kwenu.