Faida 2 ukioa demu bikira...

Faida 2 ukioa demu bikira...

mautundu94

Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
51
Reaction score
18
1-hata kama hujui mapenzi yeye HAJUI KWAMBA HUJUI..ukipanda
kama kuku sawa ukicheua dakika 6 sawa ...hana comparison wala
reference...ILA UOE GUBE GUBE looh...Ukishuka tu anampigia Ex Wake simu "Hebu njoo unikate kiu
hili janaume limenipandisha tu
nakunipaka shombo..

2-Ukioa Dem Bikira Hata kama unakibamia yeye anaona ndio tango
dunia nzima full kukusifia...Sasa siku akikutana na Mjalabadi wa
ukweli.. ukirudi unakuta kalala sa1... ukimgusa anakucheki"Baba nanii leo nimechoka"

KASHESHE UTAMPATIA WAPI DEMU BIKIRA USAWA HUU??? Kizazi
Chenyewe cha KATANGAZE wote
original spea za kariakoo Tangu darasa la sita Wanachezea Dyudyu....
 
Kama ulivyosema akionja mambo nje umekwisha.... atabaki kusema nilikuwa wapi siku zote hizi....
 
Kama ulivyosema akionja mambo nje umekwisha.... atabaki kusema nilikuwa wapi siku zote hizi....

Ila utakuwa ushafaidi bikira yake na utam..kuliko magubegube kilele huwa kupatikana shida labda utumie mwiko
 
faida kubwa ni kwamba utakuwa umeoa mke mwenye hofu ya mungu.

mie naona demu anaweza kuwa bikra mpaka anaolewa....i mean if adriana lima cn keep her virginity till marriage amd sje is hottttt wee wakawaida unashindwa vipi?
 
Ila utakuwa ushafaidi bikira yake na utam..kuliko magubegube kilele huwa kupatikana shida labda utumie mwiko

Hahaha, wenyewe wanasema tonge la mwisho ndio linakomba mboga. Lazima ikuume because unahisi kama vile una hakimiliki nae lakini ndio hivyo tena watu wamekuwahi tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom