Mkuu upiganaji ni tabia piatabia utarekebisha ila mpiganaji me/ke katika mahusiano ni bora zaidi
Pamoja sanaHujakosea nakuunga mkono mkuu!!!!
anaye jishughulisha na kuingiza kipatoMkuu upiganaji ni tabia pia
Too hypotheticalTabia ni kitu muhimu kwenye mahusiano ila lazima nioe mwanamke ambae ata akiniudhi nikimuangalia usoni hapo hapo nasahau kero zote.
Nakuelewa sana mkuuKweli mkuu macho muda mwingine hudanganya...unaona mtu fulani ni mzuri kwa hiyo na tabia nayo atakuwa nayo nzuri kumbe ni tofauti kabisa
Thanks.Umenena vyema naunga mkono hoja macho hayaliziki mpaka kifo
ThanksUmemaliza mkuuu.
A good woman always deserve this " I will love you more than forever simply because even the eternity is not enough time for me to express my love for you "
Sasa kosea upate aliyemzuri lkn Tabia mbovu .. Hutoisha kusema " Unataka nikufanyie nini weee lkn ??? Daaaaahhh!!.
Thanks pia mkuuuThanks
Poa poa mkuuNakuelewa sana mkuu