simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Ni ukweli usiopingika nchi nyingi zinapigana vikumbo kujiunga na umoja wa Afrika Mashataki EAC. Ni fahari kuwa mwanachama wa EAC.Hapo hapo ni ukweli usiopingika muungano wa Tanganyika na Zanzibar siyo tija bali kero tupu. Watanganyika wanalalama,Wanzanzibari wanaapiza wanadai mamlaka kamili.
EAC imejengwa kwenye msingi wa usawa. Haki sawa mdogo na mkubwa. Muungano ni ubabe tu wa Tanganyika vidi ya Zanzibar. Zanzibar belongs to EAC, bila shaka siku za usoni Zanzibar itakuwa mwanachama wa saba EAC. Haki.
Haki sawa kwa wote.