Fahamu mtiririko mzima wa matoleo ya OS za Android

gimp

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
65
Reaction score
14
Tangu kuanza kutumika rasmi mwaka 2008 katika smartphones. Operating System hii imekuwa na version mbalimbali ili kuleta maboresho katika kutoka version moja kwenda nyingine.

Pitia hapa ili kufahamu zaidi.

 
Vipi kuhusu security kwenye hii version ya Lollipop, maana tuliambiwa ulinzi utaboreshwa kama wa apple.
 
Lollipop haina usalama kama ilivyo iOS 8. Haikupi ulinzi wa taarifa zako au device yako hata kama utaweka password. Na device inapopotea, itapofanyiwa factory reset kupitia recovery mode huwezi pata data zako tena au kuweza kuitrack katika mtandao,

na yule mtu ataendelea kuitumia bila shida yoyote akitumia akaunti yake ya Gmail, suala ambalo ni tofauti sana katika iOS.
 

Safi sana kiongozi kwa shule hiyo asee mi nadhani sio mbaya ungeweka jinsi mtu anaweza ku-upgrade toka version moja na kwenda nyingine ili kuwasaidia mkuu.
 
Tupo pamoja kiongozi. Nitajitahidi kufanyia kazi wazo lako.
 
gimp na yule mtu ataendelea kuitumia bila shida yoyote akitumia akaunti yake ya Gmail, suala ambalo ni tofauti sana katika iOS.[/QUOTE]

Nadhani unachanganya vitu viwili. Lollipop and iOS 8 are both encrypted by default that is the security that was being talked about.
 
Last edited by a moderator:
Encryption haizuii simu kuwa vulnerable. Consumers wako concerned hasa na attacks za malware na vitu vingine kama kuweza zuia mtu kufuta data zako pale device yako inapopotea,

something that is missing katika Android and there is nothing encyption can do about to solve this matter. It is there just to avoid surveillance na snooping, lakini still not 100% efficient. Inafahamika wazi,

huwezi kuwa safe on using smartphone or any other device that can connect online.
 

I was replying to you on the question asked by idawa , he said Lollipop will have the same security as iOS 8 but what was referred as security ni storage/data encryption not what you are talking about kuhusu iCloud lock etc. Ni vitu viwili tofauti.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…