TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,956
- 21,954
Umeona ejhYote Kheri Tu
Hazipo kabisa, wao wanakimbizana na wanyama tuHili kabila limenivutia sana jinsi wanavyoishi ,inaonekana kwao kiwango cha stress za kukimbizana na shilingi hakipo🤔
Kiukwel huwa nina vutia na maisha yao mno , na wana afya njema sana na mda wote wapo na furaha na kushirikiana sana.Hazipo kabisa, wao wanakimbizana na wanyama tu
Watu wawili wanamaliza tembo mzimaNao ndiyo walivyo na mila zao
Wana definition yao ya ichafu 😂😂Kama ulikua hulijui kabila la WAHADZABE wacha nikufahamishe;-
WAHADZABE ni moja ya makabila yanayopatikana nchini TANZANIA,
Kabila hili linapatikana mkoani MANYARA,
Hasa katika wilaya ya SERENGETI eneo liitwalo BONDE LA UFA kuzunguka ZIWA EYASI,
Kwasasa kabila hili lina watu wasiozidi 500,
Kabila hili lina maajabu mengi sana ya kipekee.
MAAJABU YA WAHADZABE
1) HAWAOGI MPAKA MVUA
Wahadzabe hawaogi kama binaadamu wengine,
Wao huoga pale tu ambapo mvua inaponyesha,
Mvua isipo nyesha kamwe wahadzabe hawaogi,
Wanaishi hivyo hivyo hata miezi mitatu bila kuoga,
Hufanya hivyo kwasababu wao wanaamini kuwa,
Maji yaliopo ardhini ni maalumu kwa ajili ya kunywa,
Pamoja na kuoshea nyama pamoja na mizizi tu.
2) VYAKULA VYAO
Wahadzabe chakula chao kikuu ni NYAMA na MIZIZI,
Wahadzabe wanakula MNYAMA yeyote watakae muona porini,
Ikiwemo nyani, ngedere, paka , nyoka, mbwa na kadhalika.
3) WIVU
Wahadzabe hawana wivu kabisa na mwanamke,
Yani kuchukuliana wanawake kwao ni kitu cha kawaida.
4) HAWALIMI WALA HAWAFUGI
Wahadzabe ni kabila ambalo halilimi wala halifugi,
Wao maisha yao yote shughuli yao ni uwindaji tu.
5) LUGHA YAO
Wahadzabe lugha yao niya kipekee kabisa,
Haiingiliani na lugha yeyote yaani wao sio wabantu,
Kwa hapa TANZANIA makabila ambayo siyo wabantu ni mawili,
Ambayo ni kabila la MASAI na hawa wahadzabe.
View attachment 3297872
Kabisa maisha ni kuchagua tuWana definition yao ya ichafu 😂😂
Umeona ehhWana definition yao ya ichafu 😂😂
Tembo gani wa ukubwa gani?Watu wawili wanamaliza tembo mzima
huku naona pisi unaihonga nyama ya nyoka, nyani kenge nkHili kabila limenivutia sana jinsi wanavyoishi ,inaonekana kwao kiwango cha stress za kukimbizana na shilingi hakipo🤔
No5 weka na wa Iraq au waambuluKama ulikua hulijui kabila la WAHADZABE wacha nikufahamishe;-
WAHADZABE ni moja ya makabila yanayopatikana nchini TANZANIA,
Kabila hili linapatikana mkoani MANYARA,
Hasa katika wilaya ya SERENGETI eneo liitwalo BONDE LA UFA kuzunguka ZIWA EYASI,
Kwasasa kabila hili lina watu wasiozidi 500,
Kabila hili lina maajabu mengi sana ya kipekee.
MAAJABU YA WAHADZABE
1) HAWAOGI MPAKA MVUA
Wahadzabe hawaogi kama binaadamu wengine,
Wao huoga pale tu ambapo mvua inaponyesha,
Mvua isipo nyesha kamwe wahadzabe hawaogi,
Wanaishi hivyo hivyo hata miezi mitatu bila kuoga,
Hufanya hivyo kwasababu wao wanaamini kuwa,
Maji yaliopo ardhini ni maalumu kwa ajili ya kunywa,
Pamoja na kuoshea nyama pamoja na mizizi tu.
2) VYAKULA VYAO
Wahadzabe chakula chao kikuu ni NYAMA na MIZIZI,
Wahadzabe wanakula MNYAMA yeyote watakae muona porini,
Ikiwemo nyani, ngedere, paka , nyoka, mbwa na kadhalika.
3) WIVU
Wahadzabe hawana wivu kabisa na mwanamke,
Yani kuchukuliana wanawake kwao ni kitu cha kawaida.
4) HAWALIMI WALA HAWAFUGI
Wahadzabe ni kabila ambalo halilimi wala halifugi,
Wao maisha yao yote shughuli yao ni uwindaji tu.
5) LUGHA YAO
Wahadzabe lugha yao niya kipekee kabisa,
Haiingiliani na lugha yeyote yaani wao sio wabantu,
Kwa hapa TANZANIA makabila ambayo siyo wabantu ni mawili,
Ambayo ni kabila la MASAI na hawa wahadzabe.
View attachment 3297872
Mbona hata wazungu wanatumia toilet paper tu bila maji kujichamba ndo maana mademuwa kizungu wana harufuKama ulikua hulijui kabila la WAHADZABE wacha nikufahamishe;-
WAHADZABE ni moja ya makabila yanayopatikana nchini TANZANIA,
Kabila hili linapatikana mkoani MANYARA,
Hasa katika wilaya ya SERENGETI eneo liitwalo BONDE LA UFA kuzunguka ZIWA EYASI,
Kwasasa kabila hili lina watu wasiozidi 500,
Kabila hili lina maajabu mengi sana ya kipekee.
MAAJABU YA WAHADZABE
1) HAWAOGI MPAKA MVUA
Wahadzabe hawaogi kama binaadamu wengine,
Wao huoga pale tu ambapo mvua inaponyesha,
Mvua isipo nyesha kamwe wahadzabe hawaogi,
Wanaishi hivyo hivyo hata miezi mitatu bila kuoga,
Hufanya hivyo kwasababu wao wanaamini kuwa,
Maji yaliopo ardhini ni maalumu kwa ajili ya kunywa,
Pamoja na kuoshea nyama pamoja na mizizi tu.
2) VYAKULA VYAO
Wahadzabe chakula chao kikuu ni NYAMA na MIZIZI,
Wahadzabe wanakula MNYAMA yeyote watakae muona porini,
Ikiwemo nyani, ngedere, paka , nyoka, mbwa na kadhalika.
3) WIVU
Wahadzabe hawana wivu kabisa na mwanamke,
Yani kuchukuliana wanawake kwao ni kitu cha kawaida.
4) HAWALIMI WALA HAWAFUGI
Wahadzabe ni kabila ambalo halilimi wala halifugi,
Wao maisha yao yote shughuli yao ni uwindaji tu.
5) LUGHA YAO
Wahadzabe lugha yao niya kipekee kabisa,
Haiingiliani na lugha yeyote yaani wao sio wabantu,
Kwa hapa TANZANIA makabila ambayo siyo wabantu ni mawili,
Ambayo ni kabila la MASAI na hawa wahadzabe.
6) HAWACHAMBI NA MAJI
Wahadzabe wakinya au kukojoa tumii maji kabisa kuchambia,
Wao hutumia majana tu kujifuta basi nasio maji.
View attachment 3297872