Sana tena,alafu analazimisha ku-trend kwa kususa bana.yani akisusa kumbembeleza ni mpaka mumuimbie mashairi yaliyonyooka ya kumsifia sana ndio kwa mbaali anarudi kwenye mstari,,kha,,!😅😂
Wao wameanza zamani sana kuwa na hivyo vyuma alafu wao ni wazee wa Gulfstream kwenda mbele.. kuanziaa kwa Papa Idahosa.. Oyedepo .. ile chuma alishuka nayo TB Joshua alikuja na Gulfstream G550 View attachment 2733950
Sana tena,alafu analazimisha ku-trend kwa kususa bana.yani akisusa kumbembeleza ni mpaka mumuimbie mashairi yaliyonyooka ya kumsifia sana ndio kwa mbaali anarudi kwenye mstari,,kha,,!😅😂
Nadhani kwa bongo yetu hii changamoto kubwa ni ile operation costs wengi ndio hukwama lakini kwa acquisition cost sidhani kama ni tatizo kwa “mataita” wengi mjini kumiliki.