🌳
FAHAMU KUHUSU MATOGHO 🌳
Hapa chini ni maelezo ya namna ya kutumia
Matogho (
Goron Tula ) kwa njia mbili:
kiafya (tiba asilia) na
kiroho (utambuzi na ulinzi).
🌿
Matumizi ya Goron Tula kwa Tiba Asili🌿
⚡1.
Kwa Wanawake (uzazi na hedhi):
- Lengo: Kusafisha kizazi, kuongeza ute wa uzazi (cervical mucus), na kurekebisha hedhi.
- Namna ya kutumia:
- Tafuna matunda 2–3 kila siku, hasa asubuhi na jioni.
- Unaweza kuchemsha na kunywa maji yake vuguvugu mara 2 kwa siku.
⚡2.
Kwa Wanaume (nguvu za kiume):
- Lengo: Kuongeza msisimko na nguvu ya tendo la ndoa.
- Namna ya kutumia:
- Chemsha Goron Tula 3–5, changanya na tangawizi na punje chache za karafuu.
- Kunywa asubuhi na kabla ya tendo.
⚡3.
Kwa kusafisha tumbo (detox):
- Kunywa maji ya goron tula yaliyochemshwa bila kuchanganya kitu.
- Husaidia choo, sumu mwilini na kupunguza gesi.
💫
Matumizi ya Kiroho💫
⚡1.
Kwa kuvuta nguvu za upendo na mvuto wa kiroho:
- Tafuna tunda moja asubuhi ukiwa na nia safi ya kuvutia watu wema, neema na mahusiano ya amani.
- Weka chembe ya tunda chini ya mto unapolala (usiku wa Ijumaa), ukiomba mvuto wa kiroho (baraka na heshima).
⚡2.
Kwa kutuliza hasira nyumbani au mahusiano:
- Changanya unga wa goron tula (uliosagwa) na asali kidogo.
- - Mpake mwenza au mzungumzie mtu mwenye hasira kali unapompa chakula kwa nia ya utulivu.
⚡3.
Kwa ulinzi wa kiroho:
- Chemsha Matogho pamoja na maji ya mvua na majani ya mnyonyo, oga nayo siku ya Jumanne au Alhamisi alfajiri.
- Husaidia kuondoa mikosi, husda, na roho chafu.
🔥Ili kuendelea kupata masomo kama haya like, share na follow ukurasa huu.
Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nami
~Chief Sang'ida