Fahamu kuhusu Instagram broadcast

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,285
Reaction score
2,595
Ni Rahisi sana kutengeneza broadcast channel yako kwenye Instagram kama hii [emoji116]

Uzi ni wako.


Kuna feature inaitwa channel broadcast kwenye Instagram Kazi yake ni kukusaidia creator, kuweza kutoa update mbalimbali kuhusu habari, siasa, mpira, movie, games kwa followers wake.

Ndani ya broadcast [emoji116]
  • Utapotengeneza broadcast channel yako followers wako watapata notification [emoji2772]
  • Followers wako wana uwezo wa kuchagua kujiunga au lah
  • Pia wana uwezo wa kutoka au ku mute notifications kwenye channel yako.
  • Watumiaji wote wa Instagram wana uwezo wa kuangalia maudhui yaliyopo kwenye channel yako ivyo wataamua wenyewe kujiunga au lah


Kama unahitaji kutengeneza broadcast channel kwenye Instagram fanya hivi

Vipi umefanikiwa au lah tuachie maoni yako

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ