Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
kuna utafiti nimeufanya nimegundua hapa BONGO wamegawanyika katika makundi yafuatayo.
1.MWANAMKE SHIDA hawa ni aina flani ya wanawake wao maisha yao wanategemea mwanaume kutangaza njaa na shida.
2.MWANAMKE BIASHARA hawa ni aina ya wanawake wao maisha yao hutafuta pesa kwa kutegemea kufanya mapenzi na mwanaume
3.MWANAMKE STAREHE hawa ni wanawake ambao maisha yao yamejikita katika starehe hivoo hupenda kuwa na mwanaume ambae anamtoa out na kumpeleka sehemu za starehe.
4.MWANAMKE UMARUFU hawa ni aina flani ya wanawake wao maisha yao hupenda kutembea au kutoa out na watu maarufu yaani ukiwa maarufu hapa bongo ni rahisi kumpata.
5.MWANAMKE KISOMO hawa ni wanawake ambao wameenda shule lakini pia wana upeo wa hali ya juu katika kuwaza maisha na hupenda kujishughulisha kufanya kazi.
6.MWANAMKE PESA hawa ni aina ya wanawake ambao hupenda kuwatukuza na kuwa karibu na watu wenye pesa hivo kama huna pesa yeye huwa anakudharau.
7.MWANAMKE MALENGO hawa ni aina flani ya wanawake maisha yao hutegemea mwanaume asiyejitambua kutimiza malengo yao kama vile KUSOMA,BIASHARA,MAENDELEO ila akishapata anachokitaka na mapenzi ndio basi tenaaa.
8.MWANAMKE MAISHA hawa ni aina flani ya wanawake ambao akiwa na mwanaume hupenda kumshauli mwanaume wake afanye vitu vya kimaendeleo na pamoja kujenga maisha bora.
9.MWANAMKE HURUMA AU MAMA HURUMA,... hawa ni aina flani ya wanawake wao hata ukiwatongoza hawakatai na wapo tayali kumuonga mwanaume.
.
10.MWANAMKE MFUGAJI hawa ni aina flani ya wanawake wao maisha yao hupenda kuwalea na kuwafuga wanaume ndani na kuwahudumia na kuwapa kila wakitacho ili mradi awe anamridhisha kitandani.
swali langu jee we una mwanamke aina gani