THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,478
- 5,323
Hata Simeone hua simuon na ujinga wa hivo.Kocha mshamba tu yule hajui mpira n dk 90 Inatakiwa umakini mda wote
SureSimba ikifika dk ya 70 wanakua wamechoka ni tatizo lililo kosa dawa.
Subs zilitakiwaSimba ikifika dk ya 70 wanakua wamechoka ni tatizo lililo kosa dawa.
HeheheLenyewe baada ya goli likawa linaonyeshwa linawahimiza Mashabiki wapige kelele zaidi huku likiweka mikono Kwa masikio kuonesha halisikii kelele ziongezwe hio kazi hua ya wachezaji we Mkaburu...
Hakuna kutengeneza Team hapaTulieni bana msimuu ndio wakwanza kwa kocha, team haugombanii ubingwa Tangu mwanzo Kila mwanasimba anafahamu Hilo, kikosi kimeingiza wachezaji 14 wapya msimu huu. Kwahio tulieni tumdai ubingwa msimu ujao.
Kwa nini unamfananisha Diego na vichaa kabisaHata Simeone hua simuon na ujinga wa hivo.
Nisamehe MkuuππππKwa nini unamfananisha Diego na vichaa kabisa
Well saidSisi kama Yanga pekee tunachowaza sasa hivi ni hat trick ya Chama hapo March 8, basi.
OkNisamehe Mkuuππππ
Hujui mpira wewe, unapiga kelele kudraw na Azam, vipi ungefungwa na Tabora ?.Hakuna kutengeneza Team hapa
Angegalauka kwenye maviHujui mpira wewe, unapiga kelele kudraw na Azam, vipi ungefungwa na Tabora ?.
Wanakuwa hoi bin taabaniSimba ikifika dk ya 70 wanakua wamechoka ni tatizo lililo kosa dawa.