habari zenu?
jamani naombeni ushauri
nimejaaliwa kufaulu kidato cha sita nakupata matokeo haya
Gs-'C'
Geography-C
English-B
Kiswahili-B
hv faculty gani nzuri ya kusomea na chuo kipi kzuri kwa Tanzania?
habari zenu?
jamani naombeni ushauri
nimejaaliwa kufaulu kidato cha sita nakupata matokeo haya
Gs-'C'
Geography-C
English-B
Kiswahili-B
hv faculty gani nzuri ya kusomea na chuo kipi kzuri kwa Tanzania?
unaulizia degree maana ninavyojua watu hawatafutagi ushauri wa faculty, degree ya mambo ya journalism itafaa maana languages umefanya vizuri, unaweza angalia pia degree za ualimu, human resource management etc.
ni KLG.,ila mbona ulijitesa kusoma hii kombi?.ungepiga CBG then ungepata hz marks MD, geology, pharmacy, nursing, na course zote za sua njia nyeupeeeeeee!