man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,356
Ukianza kupata akili yako tu basi unakua na ndoto za kusoma UDSM but mambo yakishageuka ndio mnakimbilia SAUT,MAKUMIRA,TEKU nk..mlipokua primary mlikua mnaijua TEKU..si mlikua mnapajua mliman tu..saiv mnataka kusema Eti vipo sawa..thubutuuu..hata mademu kuna wazuri na wabaya..jipeni moyo lakini
haaaa ahhhaaaaaa watu wanafcha ukwel xana mimi mwenye cjachaguliwa UDSM ila ndoto zangu zlikua pale ila cjutii kupata hyo UCLAS kuliko kupangiwa TEKU,SAUT au IFM ila ukwel ndo huu UDSM chuo bora barani africa kila mtu analijua hlo na kila mtu anapenda kilicho bora sema cha umuhimu kutokudharau vyuo vingine elimu nayo kama vidole kunakudhidiana uwezo.
Hata wenye ufaulu mzur primary wanakwenda mzumbe,kibaha,ilboru nk..but chuo hawataki kukubali matokeo kama kuna vyuo vyengine ni kama shule ya mburahati sec school..
Huyu jamaa hanaga akili nyingine zaidi ya kubishania ubora wa chuo:::::idiot::::m2 mwenyewe unakuta kama kajitaid thana ana div 2 af kidomodomo
haaaa ahhhaaaaaa watu wanafcha ukwel xana mimi mwenye cjachaguliwa UDSM ila ndoto zangu zlikua pale ila cjutii kupata hyo UCLAS kuliko kupangiwa TEKU,SAUT au IFM ila ukwel ndo huu UDSM chuo bora barani africa kila mtu analijua hlo na kila mtu anapenda kilicho bora sema cha umuhimu kutokudharau vyuo vingine elimu nayo kama vidole kunakudhidiana uwezo.
Mbrazili does it mean wewe kutaman kusoma udsm kunaifany udsm kua chuo bora...na wewe kutotaman kusoma teku,tumaini au jordan kunafany vyuo hivyo viwe vya kata....Penye ukweli pasemwe tu...mimi nilikuwa naitamani UDSM Kitambo tu ila baada ya kuokota div 3 ya 13 yangu na ndoto zikayeyuka kama barafu...hata kwenye selection sikujisumbua kuiweka nkapatamani pia ardhi nkaweka chaguo la kwanza ila wamenipa IFM chaguo la pili,naamini si kwa sababu ya matokeo maana mshkaji wangu ana 3 ya 14 kapata ardhi...kwa sasa ninajivunia hiyo IFM yangu na naamini ni chuo kizuri sana academically.......
paul kitereja mbona kuna vyuo vikubwa dunian ambavyo havina system ya kudisco na bado ni top ranked universities of all tymsusiwe mbishi...sauti nyie c hamna system ya kudisco?? sasa hicho ni chuo wanafunzi hamdisco! ?
Mropokaj mwngne...eti udsm chuo bora africa kila mtu analijua hilo...labda unajua ww na bab.ako uctujumlishe wote::::nyambaff
it sounds good....lazima tujivunie tulichopata ila ukweli ndo huo UDSM is the best.Penye ukweli pasemwe tu...mimi nilikuwa naitamani UDSM Kitambo tu ila baada ya kuokota div 3 ya 13 yangu na ndoto zikayeyuka kama barafu...hata kwenye selection sikujisumbua kuiweka nkapatamani pia ardhi nkaweka chaguo la kwanza ila wamenipa IFM chaguo la pili,naamini si kwa sababu ya matokeo maana mshkaji wangu ana 3 ya 14 kapata ardhi...kwa sasa ninajivunia hiyo IFM yangu na naamini ni chuo kizuri sana academically.......
you are moron.....UDSM kipo rank za juu kwa ubora barani africa najua ulikua ulijui hili uliza basi sio unadandia tu..
mbona mimi nina two nimeenda saut masscom vilaza ni nyie mnaoponda vyuo vya wenzenu
fact:masscom ya udsm na vyuo vingine iko so poor ikiicompare na ya SAUT bisha tuone
Nendeni mkasome mje kulitumikia taifa. Habari ya vyuo haitawasaidia kwa sasa...chamsingi hapo ni UPSTAIRS tu.
we mbululaa punguza upumbavu
mass com ya saut hailingan na hata haikaribian na udsm
nimeshuhudia finalist wa saut hajui hata kuwasha microphone
Mbrazili does it mean wewe kutaman kusoma udsm kunaifany udsm kua chuo bora...na wewe kutotaman kusoma teku,tumaini au jordan kunafany vyuo hivyo viwe vya kata....
we utakua unasoma memkwa tukana tena we si nimesikia unasoma memkwa kozi ya matusi! Tukana tusi jipya hlo ni outdated mapumbu ya mamako huo uwongo umemuona kituo gani? Kadanganye wasojua kusoma