FACTS ABOUT SOME AFRICAN COUNTRIES.

Mwangazza

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
34,075
Reaction score
51,584
1 kenya=a Rich guy who doesn't want to show off
2. South Africa= a kid who had rich parents but now they are dead
3. Nigeria= hustler who want to put something on his table in anyway
4. Morocco=a kid who is not proud of his family
5. Tanzania= Rich but illiterate guy
6. DRCONGO= a madman who owns Gold
7. Egyp= sleeping Legend
8. Liberia= they think they are Americans
9. South Sudan= tribalism Will choke them
10. Zimbabwe= an orphan who had a Stingy Dad
11. Eswatini=king wants another virgin girl
 
Nimependa hii kuhusu Nigeria

Ndiyo maana wezi wengi wa mitandao kupitia email zetu huwa ni hawa jamaa

Ilikuwa kidogo mwaka 2011 niingie mkenge kwa hao jamaa πŸ™Œ
Inaonekana miaka hiyo walitumia gap la kuingia kwa mitandao ya kijamii kufanya ulaghai wa kutosha.
 
kenya wakiendelea hivi watatutoa kimasomaso
 
Sana Mkuu

Mimi nilinusurika nao baada ya kufikia stage ya kuwatumia particulars za kadi yangu ya crdb bank

Ni Mungu tu alinisaidia
Kulikuwa na ile style, mjinga mmoja anajifanya ni yatima kutoka Sudan aliyeachiwa utajiri na wazazi wake na sasa anaishi Marekani au Canada. Hivyo anakuomba umsaidie kitu kidogo halafu ukiweza kumsaidia atakuzawadia a fortune. Hapo ukijichanganya kwa tamaa lazima uingie king.
 
Ndiyo ilikuwa hivyo

Nahisi Kuna baadhi watakuwa walipigwa
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kuhusu Nigeria ni kweli jamaa wapo serious kwenye suala la fighting, wanapambana sana ulaya wamejaaa kinoma, Kuna kipindi nilikua somewhere outside nation kunajamaa mMoja alikua anatusimamia kwenye kibarua chetu jamaa alikua serious balaa nilikija kuambiwa jamaa pekee pale ndio mnigeria na kapewa kitengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…