Kweli kabisa ukiwa mjuzi wa kiss na ukampata anayejua ku-respond back +vely, hutoweza sahau jinsi mwili ulivyoreact.
Nimefedheheshwa sana.nimesikitika sana.nimeonewa sana...
Kizaizai umeongea kwa kweli. Namna ya ku kiss ndio mpango mzima, maana kuna wengine, tobaaaa!!! hutataka arudie tena, hata ujitahidi vipi kuelekeza kwa vitendo ha respond ipasavyo. Mtu kama huyu ni talaka faster, usije ukanyofolewa kiungo :wacko:
Somebody to kiss me please!!!
ohooops do u need a kiss,,?????
Midomo mingine inanuka bwana! Bacteria kibao. Sijazoea mate mie.
hahahaha lol
mwambie ur girl ajirekebishe usafi wa kinywa si tu muhimu kwa kiss na kwa afya yake pia
Hatari ya nini mkuu??
KabisaaaaKweli kabisa ukiwa mjuzi wa kiss na ukampata anayejua ku-respond back +vely, hutoweza sahau jinsi mwili ulivyoreact.