Wezi wa kipuuzi tu hao, kitakachofuata ni stori ndeeefu za ubilionea, wee mjibu kupitia hiyohiyo fb, tena mtangulie kwa kumgeuzia kibao kumwambia thats coincidence, kwani unatafuta mtu umuwekee fedha kwenye account yake na ww ni mkimbizi. Then kama utamuona. Usimpe email yako asilani. Mwambie mambo yote ni kwa fb tu.