Ndo maana facebook ilikuwa hairespond bt sasa hivi naona imerudi normal
Safi sana
Mkuu ni ww umehack nn?
Wangeitoa milele kabisa
Mjita dai ya kijamii ya Facebook na Instagram haiko hewani baada ya kikundi cha Lizard Hackers kuifunga mitandao hiyo.More info to follow