mshana jr, watu wamekuamini sana kwenye ulimwengu wa uongo (ushirikina). najua unaujua ukweli, ebu badilika uwahubirie wafuasi wako ukweli ili wawe huru.

Hii ni story ya mambo niliyokutana nayo enzi hizo katika kutafuta ukweli na kujua mengi...Nashindwa kuoanisha na reply yako..subiri mpaka tamati utajifunza mengi