Jopo la madaktari limekaa baada ya kumfanyia uchunguzi wa afya yake na kugundua kua kuendelea kucheza soka ni kuhatarisha uhai wake.hivyo PATRICE MUAMBA mkongomani aliekua akichezea bolton wonderas ametangaza kuacha kucheza mpira wa miguu.ikumbukwe kua mchezaji huyo alianguka uwanjani baada ya kupatwa na matatizo kwenye moyo wake.