Una point zisizopungua 11.5 (hongera kwa hilo), ukija kwenye BAM una E ambayo ni subsidiary pass kwa sababu umeipatia advance huhitaji uwe na ufaulu wa math O level. Unachaguluka labda iwe issue ya competition tu but kwa 11.5 chances ni kubwa utapata. 2014/15 na 2015/16 UDSM BCom Accounting walichukua hadi 10.5 mwisho. Sina data za Mzumbe.
A=5, B=4,....,E=1, S=0.5 Unajumlisha kutokana na matokeo yako. Wanawapanga applicants kuanzia 15 au 15.5 kwenda chini nafasi zikijaa ndio wanapiga msitari kupata cut-off ya mwaka huo. Kwa hiyo miaka hiyo miwili wamechukua hadi 10.5 na wewe uko juu ya hapo.Asante sana.
ila hapo kwenye point sijakuelewa 11.5 sijui 10.5 nielezee kidogo.Au ndo zile A 5..B 4........
By the way umenipa moyo sana maana napenda hii course ya Accounting
A=5, B=4,....,E=1, S=0.5 Unajumlisha kutokana na matokeo yako. Wanawapanga applicants kuanzia 15 au 15.5 kwenda chini nafasi zikijaa ndio wanapiga msitari kupata cut-off ya mwaka huo. Kwa hiyo miaka hiyo miwili wamechukua hadi 10.5 na wewe uko juu ya hapo.
Watachukua kwanza COMBI (matatu) na BAM kwani wanataka uwe umefaulu maths. GS sina hakika nayo.Kwahiyo hapo wanahesabu za masomo yote matano au wanachukua hayo matatu ya COMBINATION? au ni Mawili tu? kupata hizo point??
Nimeweka na BAM +0.5 Nimeacha GS.Yaani hiyo 11.5 umechukua masomo yote maana kama ni Comb tu ingekua 11.00?
1st batch na 2nd huwa zinatoka kabla ya kwenda chuo.ila zinazofata kuanzia 3rd batch na kuendelea zitatoka mkiwa chuo
Mmmhh hapo kuanzia 3rd batch kwa walala hoi tutakoma1st batch na 2nd huwa zinatoka kabla ya kwenda chuo..ila zinazofata kuanzia 3rd batch na kuendelea zitatoka mkiwa chuo
Unaeza jikuta unapata 1st batch..kwani ulisoma private dogo?
Shule ya kata o'level na Advance shule ya serikali piaUnaeza jikuta unapata 1st batch..kwani ulisoma private dogo?
Utapata,,tena asilimia kubwa tu
Vyuo gani umechagua?
System ilikua inazingua nikala na hela ya application yenyewe vipi we upo UDOM?Oh sawa..ungeongeza na udom ingekua poa zaidi