ya miripuko ya boston wamechukua kumbukumbu za video kutoka kwenye camera walizosambaza katika kila kona ya miji yao(kama ilivyo kawaida kwa nchi zenye maendeleo)wala hawakuchora!!!!!!!!!!
Hii ni ya kenya mwenye ya kwetu inakuaje atuwekee hapa nayo tuone na Uganda pia tuzione zinakuaje kweli safari ni safari hata kwa miguu safari ni safari!!!!
View attachment 90643 Hii ni ya kenya mwenye ya kwetu inakuaje atuwekee hapa nayo tuone na Uganda pia tuzione zinakuaje kweli safari ni safari hata kwa miguu safari ni safari!!!!