Ezytrade Africa Smartshop Chochote Popote

Ezytrade Africa

New Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Bango.jpg

Utangulizi

Hebu fikiria unaenda dukani kununua bidhaa na unambiwa kwamba bidhaa hiyo haipo. Unazunguka maduka zaidi na jibu linakuwa lile lile. Hapo inabidi aidha uhairishe ununuzi, au ufunge safari kwenda kwenye maduka makubwa yaliyoko mbali na wewe. Utatumia gharama, na kupoteza muda.

Sasa hebu fikiria kama duka lililopo karibu yako limeunganishwa na maduka makubwa zaidi ya 600 nchi nzima. Mwenye duka anaweza kuona bidhaa unayo itaka iko wapi na akakufanyia oda, bidhaa ile ikaletwa hapo ulipo. Haya ndo mapinduzi yanayoletwa na Ezytrade Africa Smartshop, chochote popote.​

Chimbuko

Wakati mamilion ya watu duniani, wafanyabiashara na walaji (consumers) wakifurahia mapinduzi ya biashara kwa njia ya mtandao (e-commerce) hali imekua tofauti hapa Tanzania. Ukoseofu wa uelewa (awareness and exposure), ukosefu wa vifaa kama computer au simu-janja, ukosefu wa mtandao wa uhakika wa internet hasa katika maeneo ya miji midogo na vijiji, utapeli wa mitandaoni, ukosefu wa uaminifu katika jamii, ukosefu wa anwani za makazi; ni baadhi ya sababu zinazosababisha kushindwa kushamiri kwa biashara kwa njia ya mtandao.

Tafiti zinaonyesha kwamba upatikanaji wa bidhaa (products penetration), pembezoni mwa miji ni chini ya 20%, miji midogo ni chini ya 15% na vijijini ni chini ya 10%. Hali hii husababisha wananchi wengi kutembea au kusafiri umbali mrefu ili kupata mahitaji yao.

Kwa kutambua hali hii, kampuni ya Ezytrade Africa inakuletea mfumo wa Ezytrade SmartShop. Ezytrade SmartShop ni mfumo wa biashara unaotumia business model ijulikanayo kama assisted e-commerce. Model hii ya biashara ina unganisha (combine) kwa pamoja ununuzi kwa njia ya mtandao (online) na ununuzi kwa njia ya kawaida (physical shopping au brick and motor) kupitia mawakala waliosajiliwa (SmartShop WAKALA).​

Fursa

Kupitia mfumo huu, Ezytrade Africa inakuletea fursa kuu mbili;

1. Fursa ya kuuza bidhaa na huduma kupitia mfumo wa SmartShop. Mfanyabiashara aliyejiunga na Ezytrade Africa Smartshop ataweza kuuza bidhaa zake kupitia mawakala wa smartshop. Hii maana yake ni kwamba Kama Ezytrade Africa Smartshop ina mawakala 6000 nchi nzima, basi yeye atakuwa na maduka 6000 nchi nzima.

2. Fursa ya kuwa wakala wa Ezytrade SmartShop ili uweze kuuza bidhaa na huduma kutoka kwa wauzaji wanaotumia mfumo wa Ezytrade SmartShop. Ukiwa wakala, unaweza kuuza bidhaa yoyote iliyoingizwa kwenye mfumo.​

Wafanyabiashara na Wazalishaji.

Mfumo wa Ezytrade Smartshop unakupa ufumbuzi wa changamoto za biashara kwa kuwezesha kuuza bidhaa zako kupita mtandaoni (online) lakini pia kupitia mawakala zaidi ya 6000 ambao watasambaa nchi nzima. Faida za msingi ni kama ifuatavo;

1. Huhitaji kutafuta wakala, pindi unapoanzisha biashara.

2. Huhitaji kupelekea na kuacha stock kwa mawakala. Utapeleka mzigo kadri watu wanavyotoa oda. (efficient inventory management).

3. Kupunguza hasara inayotokana na kuharibika kwa bidhaa sababu ya kukaa muda mrefu na stock mfu (dead stock).

4. Kupunguza gharama za biashara na hivyo kutengeneza faida kubwa zaidi.​

Kuanza kuuza bidhaa na huduma zako kupitia Ezytrade online na Ezytrade Smartshops jisajili kupitia tovuti yetu ezytrade.africa na ufuate kitufe kilichoandikwa Sell on Ezytrade

Kwa Mawakala wa SmartShop

Mfumo wa smartshop huwezeshwa na mawakala na wauzaji wa bidhaa na huduma waliosamba sehemu mbalimbali nchini. Kwa sasa kampuni ya Ezytrade inasajili mawakala nchi nzima. Mtu yeyote mwenye biashara yoyote ambayo ni halali anaweza kutuma maombi na hatimaye kusajiliwa kuwa wakala. Ezytrade Africa Smartshop ina wakala wa aina mbili. Account Managers na Sales Agents.​

Account Managers

Kama nilivyosema awali, model ya Ezytrade Africa Smartshop ni assisted e-commerce. Maana yake ni kwamba waauzaji wanasaidiwa (Assisted) kuuza kupitia mfumo na wanunuzi wanasaidiwa kununua kwenye mfumo. Hii ni kwasababu watu wengi bado hawana ufahamu wa kutosha kutumia mifumo hii. Hivyo Account Manager ni mawakala ambao wanahusika kuingiza biashara katika mfumo. Kazi yao kubwa ni kuhakikisha biashara katika maeneo yao zimeingizwa na kuwa updated mara kwa mara kadri inavyohitajika.

Faida za kuwa Account Manager ni kama ifuatavyo;

Kupata kipato kwa kwa kupitia bidhaa unazo zisimamia. Utapata commission kwa kila order ya bidhaa unayo isimamia.​

Sales Agents
Sales agent ni agent wanaouza bidhaa zilizoko kwenye mfumo wa smartshop. Faida zake ni

1. Kuwa sehemu ya mtandao mkubwa wa biashara nchini.
2. Kujipatia kipato kwa kuuza bidhaa na huduma zilizoko kwenye mfumo wa SmartShop (Commissions)
3. Kujenga jina na heshima mtaani. (joking)

Sifa za kuwa Sales Agent

1. Biashara iliyosajili na yenye leseni.
2. Uwe na ofisi katika sehemu inayofikika kiurahisi na watu na magari.
3. Uwe na computer au laptop au tablet moja au zaidi zilizo na internet.
4. Ofisi iwe na sehemu ya mtu kukaa wakati akichagua bidhaa mtandaoni.
5. Uwe unaelewa au una mtu anaye elewa vizuri kutumia computer na internet.

Kutuma maombi ya uwakala

1. Jaza form ya maombi katika tovuti yetu ya ezytrade.africa kifufe kilichoandikwa become our agent
2. Tuma email ukiambatanisha na cheti cha usajili wa kampuni, TIN, leseni na picha za ofisi yako kwenye email (inapatikana kwenye tovuti)

Jinsi ya kununua bidhaa au huduma kupitia SmartShops

Ezytrade Smartshop inakupa uwezo wa kununua bidhaa na huduma zaidi ya 10,000 kutoka sehemu mbalimbali ndani na je ya nchi. Kununua bidhaa au huduma kutoka Ezytrade Smartshop fuata hatua zifuatazo.

1. Tembelea Ezytrade Smartshop iliyo karibu nawe.

2. Eleza mahitaji yako kwa wakala wa Ezytrade Smartshop. Kwa kushirikiana na wakala, mtaangalia bidhaa mbalimbali na kuchagua zile ambazo utapenda.

3. Wakala atakusajili kwenye mfumo wa Smartshop kwa kutumia taarifa zako za msingi kama Jina kamili, simu na email (Kama unayo). Usajili hufanyika mara moja tu pale unapofanya manunuzi kwa mara ya kwanza.

4. Wakala atatengeneza oda ya bidhaa ulizo chagua, na utachagua njia ya malipo unayotaka kutumia. Utapata ujumbe wa meseji unaokujulisha nambari ya oda na kiasi cha fedha kutoka Ezytrade Africa.

5. Fanya malipo kwa njia uliyochagua mfano kwa kutumia namba ya oda kama namba ya kumbukumbu (reference number). Utapokea ujumbe wa kuthibitisha malipo kutoka Ezytrade Africa. Kamwe usilipe cash kwa wakala.

6. Ndani ya masaa 3 utapokea ujumbe au simu kutoka kwa wafanyakazi wetu wakikujulisha, muda na tarehe ya kupokea bidhaa yako. Bidhaa inaweza kuchukua masaa kadhaa hadi siku 5 kutegemeana na mahali ulipo na mahali bidhaa ilipo. Pia utajulishwa kama kutakuwa na gharama za ziada za usafirishaji wa bidhaa yako.

7. Kama kuna gharama za ziada za usafirishaji, utapewa control number ya kulipia iwapo utazikubali. Usipokubaliana na gharama za ziada, oda yako itafutwa na utarejeshewa fedha zako ndani ya saa 24.

8. Bidhaa zako zitasafirishwa hadi kwa wakala au anuani nyingine uliyochagua. Bidhaa zikifika kwa wakala utapokea ujumbe wa simu kukujulisha kuwa bidhaa zako ziko tayari kuchukuliwa.

9. Kwa kushirikiana na wakala utakagua bidhaa zako kuhakikisha kama ziko sawa. Mzigo wako utakuja pamoja na hati ya kupokelea mzigo. Uta saini nakala mbili za Hati ya kupokelea mizigo “Delivery Note” kukiri kupokea au kukataa (reject) kupokea sehemu au mzigo wote wa bidhaa. Mzigo uliokataliwa utarudishwa kwa muuzaji na utachagua kama uletewe mzigo mwingine au urudishiwe fedha.

10. Stakabadhi ya mzigo uliopokea itatumwa kwenye barua pepe yako, na kwa wakala. Sitakabadhi hutolewa baada ya bidhaa kukubaliwa.​

Faida kwa Wanunuzi

1. Uwezo wa kununua bidhaa na huduma sizizopatikana katika eneo lako.

2. Hutalazimika kusafiri kufanya manunuzi au mzigo wa biashara hivyo kutengeneza faida zaidi.

3. Bidhaa bora ambazo hazijakaa muda mrefu

4. Bei nafuu

5. Uchaguzi mpana wa bidhaa. (Nunua unachotaka, siyo kilichopo)

Karibu ujiunge na huduma za Ezytrade Smartshop

Chochote, Popote

Call/WhatsApp: +255 743 779 999
 
View attachment 1864433

Asanteni sana kwa huduma yenu
 
Back
Top Bottom