Thread 'Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia' Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki duniaEzekiel Malongo beki wa kupanda na kushuka alikuwa muongo sana, worldcup ya mwaka 2002 alitudanganya sana
ndio alishafariki mkuuThread 'Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia' Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia
alikuwa fundi kweli kweli atakuambia anakwenda anakwendaaa lalalalal goaaal aaaah namna gani paleHahaha.
Juma Nkamia alishalisemea hili.
Ila alikuwa fundi saana.
Tunataka atupe jibu letu.Sasa hivi unatangaza mkuu? Ama unaimba kama Komba!
Hahah kasema anafuga kuku!Tunataka atupe jibu letu.
Bakari Malima,a k.aJembe Ulaya
mkuu zote ni ufugaji, au unadharau ufugaji wa kuku!Nyie vijana wa mijini bhana.
Kuku mnafuga nyie Morani wanafuga n'gombe.
Nimemfaidi tu Mwameja tu mkuu.Kuna ile fainali ya Simba vs Stella Abdjan Kombe la CAF mwaka 1993 Watangazaji wa RTD walinikosha sana. Maandalizi na shamra shamra vilikuwa vya moto sana kuliko hata hiyo Jumapili ya Simba vs Berkane huko Zanzibar.
1.Golini yupo Tanzania One Mohammed Mwameja (Captain)
2.Kasongo Athumani Mhaya
3.Deo Mkuki
Oya hao niliowataja walikuwa balaaa haswaaa. Pale Simba, mbavu za kulia na kushoto, wamepita akina Ramadhani Wasso, Juma Jabu, Nassoro Masoud Chollo, nk. ila hao niliowataja mwanzo walikuwa balaaa haswaaa.
Apumzike salama Ezekiel Malongo.