Eye international ipo wapi?

Eye international ipo wapi?

New member

Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Wanandugu, kama kuna mtu yeyote anaefahamu mahali ilipo clinic ya macho inaitwa like "eye international" naomba msaada wa ramani tafadhali. Nimeelekezwa ipo maeneo ya Kinondoni, but cjui the exact location
 
Ipo maeneo ya kinondoni karbia na victoria, i mean karbia na victoria au makumbusho. Ww panda gari za makumbusho utashuka hapo eye international, cjajua utatokea pande zipi but all in all upande gari za makumbusho, au waweza panda za tegeta/kawe ndo zinapita njia hiyo.
 
Ipo kama unatokea morroco mkono wa kushoto unashuka kituo cha Victoria na kuna kituo cha mafuta kinaitwa Victoria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom