Kama mmeongea nae imeshindika kwanini msimpe kitochi cha Nokia?
Mimi hapa nawaza sana watoto wangu nitawezeje kuwafanya wasiwe social media addicts wakija kuwa teenagers. Tena na hivi tunajipinda kuwapeleka english media ndio sheeedar!
Ni kazi kubwa sana. Maana ukiwa too harsh watakuona huyu dingi vipi na wataogopa hata kuja kukueleza vitu vingine ili uwashauri. Its tough. Ila pia kuwatupia kijijini kila likizo bila social media access inaweza ikawa dawa, ili wapate balance ya maisha kidogo.
Huyo ndugu wa mkeo ndio anawaweka Mjini?
Unashindwaje kukemea kitu kama Baba na kikakoma?
Hao wapenda publicity wapo lakini huyo Wako hatoacha kwa hii thread uliyoandika.
Ita family nzima,toa tamko la mwisho kuhusu hizo mambo na umwambie akithubutu kupost tena basi ajue post inayofata itakuwa "on my way to the village"
Kabisaaa, ule wa kupenga kamasi ndani ya basi. Kwao kina OLESAIDIMU ndani ya basi la abiria kumeandikwa usiteme mate chini wala kupenda kamasi, faini ng'ombe 10