External webcam

Muggssy

Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
70
Reaction score
11
Wakku naomba kunijuza bei ya external webcam maana laptop yangu haina in built webcam. Nitashkur kwa msaada wenu wakuu
 
hercules claasic silva, 35 tsh ni nzuri , nakushauri tafutaa hii kitu ,
 
laptop yako ina win ipi mara nyingi kwenye win xp picha huwa inaonekana clear sana kuwa mwangalifu wakati wa kununua
 
buku ishiri tu iyo mzazi we nenda kaulize ndo bei yake iyo
 
mkuu ninayo naiuza kwa 15 plus external mic. ni model ya creative webcam
 
kama kun mtu wa arusha anauza anijulishe ninunue kwa 15 hadi 20
hata kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…